Wizara ya Ujenzi yatoa vipaumbele vya kuipeleka Zanzibar kwenye uchumi wa kidijitali
Unguja. Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi imeweka mkazo katika utekelezaji wa vipaumbele vyake vinavyolenga kuendeleza miundombinu ya barabara, bandari na viwanja vya ndege, sambamba na kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ili kuiwezesha Zanzibar kufikia uchumi wa kidijitali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya mwaka 2025/2026 leo, Mei 22, 2025,…