Malezi ya watoto yanavyochochea ubabe katika jamii
Dar es Salaam. Natamani tutafakari jambo hili kwa kina. Nyumbani tumemzoesha mtoto fujo, fimbo, makofi, matusi na aina nyingine za ubabe. Sisi wazazi tunaamini hatuwezi kulinda mamlaka yetu bila kumsababishia mtoto maumivu iwe kwenye mwili wake au hisia zake. Ukiangalia yanayoendelea nyumbani hakuna mazungumzo yenye upendo na mtoto. Tunaamini amani na utulivu kwenye ngazi ya…