UVCCM yahamasishana kujiandikisha kupiga kura
Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), umewataka wapiga kura wapya kuwahamasisha vijana wengine kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ili kushiriki ipasavyo kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa huku kukiwa na changamoto ya idadi ndogo ya wapiga kura waliojitokeza katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020. Katika uchaguzi mkuu…