Kamati Kuu Chaumma yateua wakurugenzi wa chama, wamo G55
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanya uteuzi wa wakurugenzi katika idara mbalimbali za chama hicho, ikiwajumuisha viongozi waliotoka Chadema na wale waliojiuzulu nafasi zao kuwapisha wanachama wapya. Leo Jumamosi, Mei 24, 2025, kikao cha Kamati Kuu kilichohusisha wajumbe 15, kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini…