BODI YA WADHAMINI MFUKO WA WANYAMAPORI KUJA NA MIKAKATI MIPYA
……………. Na Saidi Lufune, Arusha BODI ya Wadhamini ya Mfuko wa Wanyamapori Tanzania (TWPF) imepanga kuja na mikakati mipya ya usimamizi na uendeshaji kwa lengo la kuimarisha uhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini. Akizungumza jijini Arusha wakati wa kufunga kikao cha kwanza cha bodi hiyo iliyopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, cha…