Kamati Kuu Chaumma yajifungia kufanya uteuzi wa viongozi

Dar es Salaam. Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kinachohusisha wajumbe 15, tayari kimeshaanza katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa chama, Hashimu Rungwe na kitakuwa kinajadili ajenda kuu mbili ikiwemo kuchagua wakurugenzi wa idara makao makuu ya chama kwa…

Read More

Serikali yataka sekta madini kunufaisha Watanzania

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejipanga kuhakikisha sekta ya madini inatoa mchango wa moja kwa moja katika kuboresha maisha ya Mtanzania, ikiwa ni sehemu ya ajenda ya maendeleo jumuishi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Jumamosi…

Read More

Taifa Stars kutesti mitambo na Bafana Bafana

Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’, Juni 6, mwaka huu huko Afrika Kusini. Mchezo huo umepangwa kuchezwa katika Uwanja wa Peter Mokaba uliopo Polokwane, Afrika Kusini kuanzia saa 1:30 usiku kwa muda wa huko sawa na saa 2:30 usiku kwa…

Read More

Kishindo mkutano mkuu maalumu wa CCM

Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalumu wa Taifa kuanzia Mei 29 hadi Mei 30, 2025, jijini Dodoma, ambao pamoja na mambo mengine, utahusisha uzinduzi wa Ilani mpya ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, sambamba na kufanya marekebisho muhimu ya Katiba ya chama. Akizungumza leo, Jumamosi Mei 24, 2025, Katibu wa Itikadi, Uenezi…

Read More

Ligi ya Kikapu Dar ni burudani ndani, nje

UKIACHANA na ushindani wa uwanjani wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), burudani nyingine ni kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo, wanaoweza kufurahia mchezaji wa upinzani pindi anapofanya kitu kizuri. Hilo limetokea kwa timu ya wanawake ya Tausi Royals iliyoshinda kwa pointi 120-25 dhidi ya UDSM Queens, katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja…

Read More

Aziz KI ataja mambo mawili mazito Yanga

STEPHANE Aziz KI kwa sasa yupo nchini kwao Burkina Faso ambako ameenda kusalimia nyumbani kwao kabla ya kwenda Morocco kuanza majukumu rasmi ya kuitumikia Wydad Casablanca, lakini huku nyuma ametoa kauli iliyobeba mambo mawili makubwa. Nyota huyo ameondoka Yanga akiacha rekodi nzuri ya kushinda mataji tisa katika misimu mitatu aliyocheza huku akibainisha kwamba, amekiacha kikosi…

Read More

Camara wa Berkane aipa saluti Simba

Zanzibar. Licha ya ushindi wa mabao 2-0 walioupata katika fainali ya kwanza dhidi ya Simba SC huko Morocco, kiungo Mamadou Camara wa RS Berkane amesema kuwa hawatarajii mechi  nyepesi katika mechi ya marudiano ya  fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Amaan. Camara ambaye ni raia wa Senegal, amesema wanaiheshimu Simba kama timu…

Read More

DC KASILDA AWAFUNDA WANAFUNZI WASHIRIKI WA UMITASHUMTA NGAZI YA MKOA.

Na WILLIUM PAUL, SAME.  MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewasihi wanafunzi 120 kutoka wilayani humo wanaoelekea kushiriki mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa kwa mwaka 2025, kuzingatia nidhamu, maadili na juhudi ili kufanikisha ushindi katika mashindano hayo. Kauli hiyo ameitoa leo  wakati wa kuwaaga wanamichezo hao ambapo Kasilda aliwatakia safari njema…

Read More