Utajiri wa nchi unavyohamishwa kupitia vivutio kwa wawekezaji
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikikadiriwa kuwa na walipakodi karibu milioni tano, kumekuwa na upotevu wa mapato kutokana na vivutio wanavyopewa wawekezaji wa nje ikiwamo misamaha ya kodi na vivutio visivyo vya kifedha. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa bungeni na Wizara ya Fedha, Septemba 2023, hadi Juni 30, 2023, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hadi…