Mpango mkubwa zaidi wa dola bilioni nyingi katika historia ya Amerika-na serikali ya Amerika ya 51? – Maswala ya ulimwengu

Jeshi la anga la Royal Saudia F-15SA. Mikopo: Idara ya Ulinzi ya Amerika (DOD) na Thalif Deen (Umoja wa Mataifa) Ijumaa, Mei 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Mei 23 (IPS) – Wakati Rais wa Merika Donald Trump alipojitolea kutangaza Canada kama jimbo la 51 la Amerika, Wakanada walikataa kabisa pendekezo…

Read More

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAONESHO YA WORLD EXPO 2025 OSAKA, JAPAN*

………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan kumwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya kimataifa ya Osaka (World Expo 2025 Osaka). Akiwa nchini Japan, Mheshimiwa Majaliwa atashiriki katika kongamano la biashara, uwekezaji na utalii ambalo litahusisha wafanyabiashara kutoka Tanzania na Japan. Pia, Waziri Mkuu atashiriki katika…

Read More

TAASISI YA ELIMU TANZANIA,KAMPUNI YA JOLLY FEATURES WAANDAA MAFUNZO KWA WALIMU SHULE YA MSINGI

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana kampuni ya Jolly Features wameandaa mafunzo kwa walimu wa shule ya msingi kuhusu mbinu za kufundisha Kiingereza ili kuwajengea umahiri utaosaidia wanafunzi kujifunza vyema. Mafunzo hayo ya siku tatu yalianza Mei 22, 2025 , huku yakihusisha walimu wa Darasa la Kwanza,…

Read More

Mbeya yasuka mipango ya kurejesha nne Bara

CHAMA cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) kimesema kupoteza timu tatu zilizokuwa Ligi Kuu si jambo la kufumbia macho, bali inahitaji mkakati wa pamoja kurejesha heshima ya mkoa huo. Mbeya ilikuwa ikichuana na Dar es Salaam kwa kuwa na idadi kubwa ya timu nyingi Ligi Kuu, ambapo msimu wa 2021/22 ilikuwa nazo nne zikiwamo, Ihefu,…

Read More

Makalla awavaa Chadema Simiyu, adai wanawapotosha wananchi

Simiyu. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali inawathamini wananchi wa Mkoa wa Simiyu, wakiwemo wakulima wa mpunga na pamba, ndio maana imefanya jitihada mbalimbali za kuboresha mazingira ya kilimo cha mazao hayo ili kuyaongezea thamani. Kutokana na hilo, CCM imewataka wananchi wa Simiyu kupuuza maneno yanayosemwa na baadhi ya viongozi wa upinzani waliodai Serikali haijafanya…

Read More

Piga Pesa Nyingi Leo – Global Publishers

Last updated May 22, 2025 Siku ya kupiga mzigo wa maana iemefika. Odds kibao na machaguo zaidi ya 1000 zinapatikana leo. Weka jamvi lako na ubashiri hapa. SUPER LEAGUE pale Uswizi inatarajiwa kuendelea ambapo Yverdon-Sport atamualika kwake FC Zurich ambao wanashika nafasi ya 7 na mwenyeji wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii…

Read More

Mbaroni kwa kumuua mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Musoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Machegere Wambura (52), mkazi wa Kijiji cha Robanda kilichopo Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kutokana na ugomvi uliotokana na wivu wa mapenzi. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma leo Ijumaa Mei 23, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara,…

Read More