Makusanyo ya mapato Jiji la Arusha yapaa, yafikia Sh51 bilioni
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imefanikiwa kuongeza makusanyo yake hadi kufikia Sh51 bilioni kwa mwaka 2024/2025 kutoka Sh21 bilioni zilizokusanywa msimu wa mwaka 2020/2021 wakati wakiingia madarakani. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa jiji, Mei 22, 2025, Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe amesema siri ya mafanikio hayo ni ubunifu wa…