Tume ya uchaguzi ifafanue utata uliopo
Kwa hali ilivyo sasa na kwa kuwa hakuna dalili zozote za mabadiliko, watu wa Zanzibar wanaelekea kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu katika mazingira yanayofanana kwa kiasi kikubwa na yale ya uchaguzi wa mwaka 2020. Uchaguzi huo ulidaiwa na baadhi ya vyama vya siasa na wapigakura kwamba uligubikwa na mizengwe isiyoelezeka. Hata viongozi wa…