TDB- MAZIWA YALIYOSINDIKWA NI SALAMA
KUELEKEA Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Maziwa mwaka huu, Bodi ya Maziwa nchini imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuongeza unywaji wa maziwa, hasa yale yaliyosindikwa, ili kuboresha afya, lishe bora na kuunga mkono sekta ya maziwa nchini. Akizungumza na waandishi wahabari leo Mei20,2025 katika mafunzo yaliyotolewa jijini Dar es salaam, Kaimu Msajili Bodi ya…