Tanzania Prisons yajipanga upya | Mwanaspoti
KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema mapumziko ya wiki mbili aliyotoa kwa wachezaji anaamini yatawajenga na kupata nguvu mpya ya kufanya vizuri katika mechi mbili zilizosalia ikiwamo ile ya nyumbani dhidi ya Yanga. Baada ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata mechi ya mwisho dhidi ya Coastal Union, wachezaji wa Prisons walipewa mapumziko na wanatarajia…