Mshahara mpya wa Azizi Ki kufuru tupu
DILI la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, limezidi kuutunisha mfuko wake kutokana na kile ambacho atakuwa akilipwa kwa mwezi. Nyota huyo raia wa Burkina Faso, anakwenda kujiunga na Wydad baada ya kukitumikia kikosi cha Yanga kwa mafanikio makubwa katika misimu mitatu, tangu Julai 15, 2022. Kitendo cha Aziz…