MAFURIKO BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU YAWAKUMBA NGORIKA

Na Mwandishi wetu, Simanjiro BAADHI ya wakazi wa Kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na kufurika kwa bwawa la Nyumba ya Mungu. Diwani wa kata ya Ngorika Albert Msole amesema baadhi ya wakazi wa eneo hilo nyumba zao zimezungukwa na maji. Msole amesema baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyumba…

Read More

Ujenzi madaraja King’ori Arusha kuondoa kero, kuokoa maisha

Arusha. Kufuatia tukio la Aprili 25, 2023 lililosababisha vifo vya watu wanne wa familia moja baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko katika eneo la King’ori, wilayani Arumeru, Serikali imeanza ujenzi wa madaraja mapya kama hatua ya kudumu ya kukabiliana na maafa na changamoto za miundombinu. Madaraja hayo mawili, yanayojengwa katika eneo hilo ambalo…

Read More

Jinsi vijidudu vinavyozidisha antimicrobials na kwa nini inatufanya kuwa mgonjwa – maswala ya ulimwengu

Linnet Ochieng, meneja wa maabara, hufanya upimaji wa AMR katika Taasisi ya Utafiti wa Mifugo ya Kimataifa. Mikopo: Ilri na Busani Bafana (bulawayo) Jumanne, Mei 20, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BULAWAYO, Mei 2025 (IPS) – Watu zaidi wanakufa kutokana na maambukizo yanayoweza kutibiwa kwa sababu dawa ambazo tunategemea hazifanyi kazi tena kama inavyopaswa….

Read More

Serikali yaelezea jinsi inavyopambana na mimba za utotoni

Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto umejikita katika kumaliza ukatili ukijumuisha kubakwa na kupewa mimba kwa kuzini na maharimu au ndugu na jamaa wa karibu ikiwemo baba wa kuwazaa. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwanaidi Ali Khamis ameyasema…

Read More

Wenye Uviko-19 waongezeka, Dar yatajwa

Dar es Salaam. Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zinaonyesha kuwepo ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne Mei 20, 2025, na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe kupitia taarifa yake kwa umma, ambapo amesema kumekuwepo ongezeko la…

Read More

Wenye Uviko-19 waongezeka, Dar es Salaam yatajwa

Dar es Salaam. Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zinaonyesha kuwepo ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne Mei 20, 2025, na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe kupitia taarifa yake kwa umma, ambapo amesema kumekuwepo ongezeko la…

Read More