Simba, Yanga kwenye ligi ya hat trick
LIGI Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, inaenda ukingoni ambapo hadi sasa zimefungwa hat trick nne kutoka kwa wachezaji wa Simba na Yanga kila mmoja wao, ingawa nyota wa timu hizo wamekuwa ni moto wa kuotea mbali kwa wapinzani. Kwa misimu minne mfululizo kuanzia msimu wa 2021-2022 hadi sasa nyota wa timu hizo ndio wanaoongoza…