CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

  CDQ amezindua Visualizer ya Wimbo Maarufu “Suwe” “Suwe” — wimbo wa mtaani wenye mvuto mkubwa kutoka kwa CDQ, uliotayarishwa na Masterkraft na kumshirikisha Ayanfe, sasa umeambatana na visualizer rasmi! Ukijulikana kwa korasi yake ya kuvutia, nguvu ya kipekee, na mchanganyiko mzuri wa Afro-fusion na rap ya asili, “Suwe” umekuwa ukitamba sana kwenye vituo vya…

Read More

Aucho atemwa, Mukwala aitwa The Cranes

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho hayupo katika orodha ya wachezaji 28 walioitwa na timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ kwa ajili ya mechi mbili za kimataifa za kirafiki dhidi ya Cameroon na Gambia zitakazochezwa mwezi ujao huko Morocco. Michezo hiyo ambayo inaonekana ni maalum kwa ajili ya kujiandaa na mashindano mbalimbali mojawapo ni Fainali…

Read More

Chikola, Yanga kuna kitu kinaendelea

INGAWA ni siri, lakini taarifa zilizoifikia Mwanaspoti ni kwamba mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola na Yanga kuna kitu kinaendelea ikiwa ni mipango ya kujiandaa kwa msimu ujao. Inadaiwa tayari nyota huyo mwenye mabao saba na asisti mbili katika Ligi Kuu Bara, amesaini mkataba wa awali na Yanga iliyokuwa inamfukuzia tangu msimu huu ulipoanza. Chanzo…

Read More

Yanga SC yajifungia na Sowah Dar

WAKATI Yanga ikianza maisha mapya bila kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI anayedaiwa anajidaa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, mabosi wa klabu hiyo wamepiga hesabu kali za kuboresha kikosi hicho kwa msimu ujao na fasta wamekutana kwa siri na mshambuliaji Jonathan Sowah kisha kuweka sawa dili la Mghana huyo kusaini. Kuna asilimia zaidi ya 85 Sowah…

Read More

Kete ya mwisho WPL leo, matokeo kuamua bingwa

MZUNGUKO wa mwisho wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu wa 2024-2025 unahitimishwa leo Mei 20, 2025 kwa mechi tano kuchezwa huku Mlandizi Queens na Gets Program zikiwa tayari zimeshuka daraja. Katika kuhitimisha msimu, michezo miwili ambayo Gets Program dhidi JKT Queens na Alliance Girls dhidi Simba Queens, itaenda kuamua bingwa wa ligi hiyo kutokana…

Read More

Mambo manne yaliyoteka mjadala bajeti ya elimu

Dodoma. Mambo manne yameteka mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2025/26, ikiwemo fedha za miradi ya maendeleo kutotolewa kwa wakati. Nyingine ni mdondoko wa wanafunzi, miundombinu ya shule, upungufu na utaratibu unaotumika katika kuajiri walimu. Hata hivyo, mbali na dosari hizo,  Bunge lilipitisha Sh2.4 trilioni kwa ajili ya utekelezaji…

Read More