Kiduku afichua ukimya wake, atamba kurejea ulingoni kivingine
Baada ya takribani miezi nane kuwa nje ya ulingo, bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, Twaha Kassimu Rubaha maarufu Twaha Kiduku, ameibuka na kusema ukimya wake ulikuwa ni sehemu ya maandalizi ya kurejea kwa nguvu mpya na kufanyia kazi ushauri na matamanio ya mashabiki ili kuendana mahitaji ya soko la ngumi. Kiduku ambaye ni bondia…