PANGANI WAPONGEZWA KWA KUSHIRIKI VYEMA UBORESHAJI WA DAFTARI AWAMU YA PILI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Mei 21, 2025 ametembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na uwekaji wazi wa Daftari la awali unaoendelea katika mikoa 16 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar Katika Halmashauri ya Wilaya ya…