Bodi ya Ithibati rasmi kuanza kutoa vitambulisho kwa waandishi wa habari
Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari imetangaza kuanza rasmi kutoa kitambulisho cha ithibati kwa waandishi kuanzia leo, huku ikionya wadanganyifu ambao hawajasomea fani hiyo. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Mei 19,2025 na Mwenyekiti wa bodi hiyo,Tido Mhando alipozungunza na waandishi wa habari kuhusu hatua iliyofikia bodi hiyo katika utoaji ithibati. Mhando ambaye…