Mahakama yaamuru Lissu asizingirwe na Polisi
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Kisutu imetoa maelekezo kwa askari wa Jeshi la Magereza kumuacha huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akiwa kizimbani, badala ya kumlinda kwa kumzingira, ili apate nafasi ya kufuatilia kesi yake. Pia, mahakama hiyo imebadili uamuzi wake wa awali wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili…