WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAZINDUA RASMI ZOEZI LA KULINDA MAZALIA YA SAMAKI ZIWA VICTORIA
-Maboya 32 yawekwa katika mipaka ya Makulia ya Samaki -Vifaranga vya Samaki 10,000 vya pandikizwa kwenye Mwalo wa Shadi Ziwa Victoria. Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), imezindua Rasmi zoezi la kulinda Mazalia ya Samaki kwa kuweka maboya 32 kwenye mipaka ya maeneo maalumu yaliotengwa, kama alama ya kubainisha maeneo ya mazalia na…