Rais Samia afanya uteuzi, amgusa Profesa Nagu, Mbungo
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua Profesa Tumaini Nagu kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia masuala ya afya. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Mei 19, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka na kusainiwa na Mkurugenzi wa…