MHE. NYONGO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA NCHINI UBELIGIJI

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo amewasili nchini Ubeligiji kuongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la Bajeti la Umoja wa Ulaya linalofanyika mjini Brussels nchini Ubeligiji kuanzia tarehe 20 hadi 21 Mei, 2025. Tanzania imealikwa katika kongamano hili kama nchi pekee kutoka Afrika kushiriki katika kongamano hili kutokana…

Read More

UCHAMBUZI WA MALOTO: Ya Lissu ni kama ya Mbowe

Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema taifa, aliingia kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akiwa na mpango tayari. Bila shaka alishakuwa na taarifa kichwani ya uwepo wa watu waliofika kumtembelea. Alivaa fulani yenye kola (form six), rangi nyeupe na bluu (rangi za Chadema). Kifuani upande wa kulia, kuna maandishi ya jina…

Read More

Rais wa Namibia awasili nchini kwa ziara ya siku mbili

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili nchini leo Mei 20, 2025 kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku mbili. Ziara hiyo ya kwanza kwa Nandi-Ndaitwah kufanyika hapa nchini tangu kuingia kwake madarakani Machi 2025, inafuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Baada ya kuwasili katika…

Read More

Viongozi 28, wanachama 120 wabwaga manyanga Chadema

Unguja. Zaidi ya viongozi na wanachama 200 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) visiwani Zanzibar wamejivua nyadhifa na kujiondoa rasmi katika chama hicho, wakidai kuwepo kwa ubaguzi na ukandamizaji kutoka kwa viongozi wa juu wa chama hicho. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku mbili tu baada ya wajumbe sita wa sekretarieti ya Chadema kisiwani…

Read More

Serikali kushirikiana na Canada kuondoa vikwazo kijinsia katika elimu

Arusha. Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Canada imeanzisha jitihada madhubuti za kuondoa vikwazo vya kijinsia vinavyokwamisha ushiriki wa wasichana katika elimu ya ujuzi, kupitia Mradi wa Uwezeshaji Kupitia Ujuzi (ESP). Mradi huo unatekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Jumuiya ya Vyuo vya Canada (CiCan), unafadhiliwa na Serikali…

Read More

Viwanda vipya vinane vya asali kujengwa nchini

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kujenga viwanda vipya vinane vya kuchakata na kuongeza thamani kwenye mazao ya nyuki, ikiwemo asali na nta kwenye maeneo mbalimbali nchini. Amesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuimarisha sekta ya ufugaji nyuki kwa kuongeza thamani ya mazao yake, kuinua kipato cha wafugaji…

Read More

Kikwete alivyofanikisha ushindi wa Profesa Janabi WHO

Dar es Salaam. Ushindi wa Profesa Mohamed Janabi katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, si tu umeandika historia mpya kwa Tanzania, bali pia umefungua ukurasa mpya wa mafanikio ya taifa katika majukwaa ya kimataifa. Katika ushindi huu wa kishindo, yapo mafumbo ya uongozi, diplomasia na mshikamano…

Read More