Historia ya kuvutia maeneo ya Jiji la Tanga
Tanga. Unapotaja maeneo ya kihistoria nchini, huwezi kuliweka kando Jiji la Tanga, kama eneo maarufu na muhimu katika Mkoa wa Tanga. Nje ya historia ya mkoa, maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Tanga yana simulizi za kuvutia kwa anayezisoma au kusikiliza. Mwananchi Digital tunakunyofolea baadhi ya maeneo na kukupa kwa ufupi simulizi zake, kama ilivyodokezwa…