Shahidi aeleza alivyogundua mwili kichakani mauaji ya kifamilia
Dar es Salaam. Shahidi wa sita katika kesi ya mauaji ya kifamilia inayomkabili mama anayedaiwa kumuua binti yake akishirikiana na kijana wake wa kiume, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, namna alivyobaini mwili wa marehemu uliokuwa umetupwa kichakani. Washtakiwa katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi, mwenye mamlaka ya ziada, Mary Mrio ni Sophia Mwenda…