Simba yakomaa na hoja 3 nzito CAF

BERKANE: UONGOZI wa Simba baada ya kupata taarifa ya kubadilishwa ghafla kwa uwanja ambao utatumika kwa mechi yao ya nyumbani ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, ulifanya kikao kizito hapa Morocco kujadili jambo hilo. Kikao hicho ambacho kilihusisha pia kupeana taarifa ya maandalizi ya mchezo wa kwanza ugenini…

Read More

Nondo za kuibeba Simba uwanja wa nyumbani

MCHEZO wa fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane dhidi ya Simba ulimalizika nchini Morocco, na sasa ni kuuendea ule wa marudiano utakaochezwa Tanzania, Jumapili ijayo. Wakati Simba ikiwa kwenye mawazo ya nini kinapaswa kufanyika mechi ya marudiano ili kubeba ubingwa wa michuano hiyo kwa mara ya kwanza, kuna…

Read More

Nani kasema kitanda hakizai haramu?

Canada. Kuna imani kuwa kitanda hakizai haramu. Uzoefu wetu unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu japo huhalalishwa kwa visingizio mbalimbali kama mila, ujinga na ubutu wa teknolojia. Ujio wa kipimo cha DNA unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu tu.  Kusema kitanda hakizai haramu ni uchafu kimila. Ni hatari, majuto, na makosa makubwa kwa wasioamini wala kukubali uchafu…

Read More

KVZ yaizima Malindi, ikiingia vita ya ubingwa

MAAFANDE wa KVZ jana imeizima Malindi kwa mabao 2-1 na kuchupa hadi nafasi ya pili kutoka ya nne ikiingia katika vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Ushindi huo uliopatikana kwenye Uwanja wa Mao A umeifanya KVZ kufikisha pointi 47, moja pungufu na ilizonazo Mafunzo inayoongoza msimamo ambayo nayo jana ilibanwa mbavu na Zimamoto…

Read More

Mambo sita yaisubiri Kamati Kuu Chadema

Kakola. Mambo sita likiwemo la makada na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia (Chadema) kujivua uanachama mfululizo zinatarajia kutawala katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho Mei 21, 2025 jijini Dar es Salaam. Kikao hicho, ambacho kitakuwa cha kwanza kufanyika bila kuwepo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ambaye yupo mahabusu, kitaongozwa na Makamu…

Read More

‘Naenda kwa mama’ janga jipya kwenye ndoa

Dar es Salaam. Kauli ya kawaida inayotumiwa na wanawake walioolewa “Nakwenda kwa mama” ambayo huonekana kama ya kawaida na yenye malengo ya mapumziko au kutafuta utulivu wa muda, sasa imeanza kuchukua sura mpya. Kwa mujibu wa utafiti wa Mwananchi,  baadhi ya wanaume wanaeleza kuwa kauli hiyo sasa  imegeuzwa kuwa silaha ya kuvunja ndoa. Katika hali ya kawaida,…

Read More