WENYE VYETI FEKI VYA UANDISHI WA HABARI WAONYWA
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Ndg. Tido Mhando, ametoa onyo kali kwa watu wanaokusudia kutumia vyeti bandia katika mchakato wa kuomba kuthibitishwa kama waandishi wa habari kupitia mfumo mpya wa usajili wa kidijitali. Akizungumza tarehe 19 Mei 2025 katika mkutano na Wahariri na Waandishi wa Habari uliofanyika…