SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHU
……………. _▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wasanii na Taifa, kuongeza fursa za ajira, kurasimisha kazi za sekta sambamba na kuimarisha maadili ya jamii. Waziri Mkuu ametoa wito kwa wasanii nchini waweke kipaumbele…