Mwakilishi ataka tume ya pamoja ya fedha ivunjwe, Serikali yajibu
Unguja. Wakati mwakilishi akiibua hoja barazani kuhusu kutokuwa na umuhimu wa Tume ya Pamoja ya Fedha kutokana na kulalamikiwa kila mara, Serikali imesema uwepo wa tume hiyo una tija katika kuimarisha uhusiano wa kifedha kati ya Serikali zote mbili. Tume ya Pamoja ya Fedha ni taasisi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT)…