Waziri Ulega awaonya wakandarasi wazembe, NCC yaja na mfumo kusaidia sekta ya ujenzi
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi nchini kutekeleza miradi kwa weledi na kwa kuzingatia viwango, ili kuleta tija kwa Taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mei 15, 2025 wakati akifungua mkutano wa mashauriano na wadau wa sekta ya ujenzi, Waziri Ulega amesisitiza umuhimu wa wakandarasi kutekeleza kazi zao kwa kuzingatia masharti…