Maporomoko mgodini yalivyopoka uhai wa watu sita
Shinyanga. Kuporomoka kwa kifusi katika mgodi unaomilikiwa na kikundi cha Hapa Kazi Tu, Mwakityolo mkoani Shinyanga, kumepoka uhai wa watu sita na kuwajeruhi 17 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya uokozi hadi leo saa 12:00 jioni. Hadi taarifa ya mwisho ya uokozi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Shinyanga inayotolewa leo, inadaiwa watu 20…