Ripoti: Bado wanawake hawako salama kwa wenza wao
Mwanza. Ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa moja ya changamoto kubwa na sugu duniani, huku takwimu mpya za ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na waathirika wake, zikionesha kuwa kwa miongo miwili jitihada za kukomesha tatizo hilo hazijazaa matunda ya kutosha. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, karibu mwanamke mmoja kati ya watatu duniani, sawa…