Wadakwa wakiwa na meno ya tembo, bangi
Mbeya. Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa mbalimbali akiwemo, Marko Kweya (51), Mkazi wa Kijiji cha Miyombweni, Wilaya ya Mbarali mkoani humo kwa tuhuma za kukutwa na mano manne ya tembo. Pia, jeshi hilo linamshikilia Hassan Hassan (50), Mkazi wa Mkoa wa Tanga baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye…