Piga Mkwanja Mrefu Ijumaa ya Leo

IJUMAA ya leo ni ya moto sana ndani ya Meridianbet kwani mechi za kibabe za kukupatia mzigo wa maana zipo. Kuanzia pale EPL na kwaingineko ni moto juu ya moto. Timiza ndoto zako na Meridianbet sasa. EPL leo hii kuna mechi mbili za pesa ambapo mechi za mapema kabisa ni hii ya Aston Villa dhidi…

Read More

Wizara kutumia Sh277.04 bilioni kuboresha mawasiliano nchini

Dodoma. Bunge limeidhinisha Sh277.04 bilioni kwa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa miradi ya maendeleo, ndani yake zikiwamo Sh73 bilioni zitakazotumika katika ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, ambao ni nguzo muhimu katika kukuza na kuboresha teknolojia ya habari na mawasiliano nchini. Jumla ya fedha za Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya…

Read More

Mbetie Barcelona na ushinde zawadi kabambe kama: kompyuta mpakato za MacBook Pro 14, simu janja za iPhone 16 Pro Max na zaidi!

Hatua ya mwisho ya Barca 1xAccelerate – promosheni ya kipekee kutoka kwa kampuni ya kimataifa ya kubashiri ya 1xBet – inaanza hivi karibuni. Usikose nafasi yako ya kushinda zawadi kubwa! Zawadi gani 1xBet inatoa? Mtoa huduma wa mikeka anayeaminika ameandaa vifaa vya kisasa, jezi za michezo, na codes za promosheni kwa wateja wake. Orodha ya zawadi…

Read More

Dk Mpango ahimiza benki kutumia akili mnemba

Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amezihimiza taasisi za kifedha nchini kukumbatia matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI), huku akisisitiza umuhimu wa kuongeza ulinzi wa mtandao. Pia, amezitaka taasisi hizo kuwekeza katika teknolojia za kisasa ili kupunguza gharama za uendeshaji, kuongeza ushirikishwaji na kuboresha uzoefu wa wateja. Akizungumza leo Ijumaa Mei 16, 2025…

Read More