Chadema yabadili gia angani kisa Golugwa kuzuiwa, yamtumia mke wa Lissu

Meatu. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini katika mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IDU) unaofanyika mjini Brussels, Ubelgiji, licha ya Jeshi la Polisi kumkamata na kumzuia Naibu Katibu Mkuu wao, Amani Golugwa kuhudhuria mkutano huo. Akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mwanhuzi wilayani Meatu leo…

Read More

Serikali yataka ‘kibano’ kwa wababaishaji sekta ya madini

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Yahya Semamba amekitaka Chama cha Watoa Huduma Sekta ya Madini (Tamisa) kuwa na makali ili kiweze kuwadhibiti wanachama wake wanaoleta janjajanja katika utoaji huduma. Amesema kufanya hivyo kutawasaidia wao kuaminika na kupewa kazi na wamiliki wa migodi, kwani watakuwa wakiwaamini, hali itakayoongeza ushiriki wa wazawa katika…

Read More

Mwili wa Padri Nkwera waagwa, kuzikwa kesho

Dar es Salaam. Mamia ya waumini wa kituo cha sala na maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), kilichokuwa kikiongozwa na Padri Felician Nkwera (89), walijitokeza jana katika misa na kuuaga mwili wa kiongozi huyo, shughuli iliyotawaliwa na vigelegele vikiambatana na vilio. Padri Nkwera ambaye muasisi wa kituo hicho alifariki dunia Mei 8, 2025…

Read More

Wanamaombi waaga mwili wa Padri Nkwera, kuzikwa kesho

Dar es Salaam. Mamia ya waumini wa kituo cha sala na maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), kilichokuwa kikiongozwa na Padri Felician Nkwera (89), walijitokeza jana katika misa na kuuaga mwili wa kiongozi huyo, shughuli iliyotawaliwa na vigelegele vikiambatana na vilio. Padri Nkwera ambaye muasisi wa kituo hicho alifariki dunia Mei 8, 2025…

Read More

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA UTEKELEZWAJI WA MIRADI YA REA

-Yaahidi kuendeleza ushirikiano -Ni miradi ya usambazaji umeme vitongojini na uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia -Yaipongeza kuendelea kuchochea ubunifu na maendeleo ya teknolojia kwenye eneo la nishati safi ya kupikia na nishati mbadala -REA yaihakikishia kuendeleza usimamizi mzuri wa miradi Benki ya Dunia (WB) yaihakikishia ushirikiano Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa…

Read More

Minziro kukwepa mtego wa play-off

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ ametoa siku 10 kwa wachezaji kabla ya kurejea kujiandaa dhidi ya JKT Tanzania na KMC akizitaja kama ndizo za kukwepa mtego wa kuangukia kucheza mtoano. Tayari Kagera Sugar na KenGold zilizopo nafasi ya 16 na 15 mtawalia zimeshuka Ligi Kuu na vita iliyobaki ni kucheza mtoano (play…

Read More