Kibano chaja usajili wahudumu wa mabasi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imeanza ukaguzi wa utekelezaji wa sheria na kanuni kwa watoa huduma wa usafiri wa mabasi ya masafa marefu, ikiwa ni sehemu ya kusimamia usajili na uthibitishaji wa wahudumu wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma kibiashara. Hatua hiyo inatekelezwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1)(e) cha Sheria…