Makundi ya kirafiki Simba yako hivi
KILA mtu na mtuwe na katika kundi kubwa la watu lazima kuwepo na vikundi vidogo vidogo ambavyo hata hivyo mara nyingi haviwezi kutenganisha kundi zima. Hivyo ndivyo ilivyo katika kikosi cha Simba ambacho pamoja na uhusiano mzuri uliopo wa kitimu, wapo wachezaji ambao wanaonekana kuwa na urafiki wa kushibana kiasi cha kupelekea mara kwa mara…