CCM yajibu aliko Wasira | Mwananchi
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kutoonekana kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, Stephen Wasira ni suala la ratiba na si vinginevyo kama inavyoelezwa. Ufafanuzi wa Makalla unajibu kauli mbalimbali zinazoibuliwa katika mitandao ya kijamii kutoka kwa baadhi ya wadau wakihoji, yuko wapi…