Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni
Moshi. Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi, huku chanzo cha kifo hicho kikidaiwa ni wingi wa madeni. Mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili katika idara ya fiziotherapia (mazoezi kwa tiba)…