TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA NIDC KUPITIA MRADI WA DIGITAL TANZANIA
Kupitia Mradi wa Digital Tanzania, taasisi za umma na binafsi haziitaji tena kuwekeza kwenye mifumo yao binafsi, bali zinahimizwa kuwekeza katika Kituo cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC) ambacho kinatoa huduma kwa gharama nafuu na kwa usalama wa uhakika. Akizungumza baada ziara ya Mhe. Kassim Majaliwa(Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipotembelea Kituo…