Serikali itazifanyia kazi changamoto zilizowasilishwa na TAPSEA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itazifanyia kazi changamoto zilizowasilishwa na Chama cha Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) katika Mkutano wa 12 wa Kitaaluma wa chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha. Mheshimiwa Rais amesema hayo alipowasalimu wanachama wa TAPSEA kwa njia ya simu wakati wa…