Makundi ya kirafiki Simba yako hivi

KILA mtu na mtuwe na katika kundi kubwa la watu lazima kuwepo na vikundi vidogo vidogo ambavyo hata hivyo mara nyingi haviwezi kutenganisha kundi zima. Hivyo ndivyo ilivyo katika kikosi cha Simba ambacho pamoja na uhusiano mzuri uliopo wa kitimu, wapo wachezaji ambao wanaonekana kuwa na urafiki wa kushibana kiasi cha kupelekea mara kwa mara…

Read More

WATANZANIA, TUJENGE DESTURI YA KUVUNA MAJI YA MVUA

        :::::: Na Mwandishi Wetu Dodoma: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuhamasiaha watanzania kuwa na desturi ya kujenga miundombinu na kuvuna maji  ya mvua kwa kila msimu wa mvua ili kuwa na uhakika wa maji kwa kipindi cha mwaka mzima hususani kipindi cha kiangazi. Mkurugenzi Mkuu…

Read More

Fabrice Ngoma ndiye gumzo Morocco

KWA huko nyumbani Tanzania, mashabiki wa Simba huwaambii kitu kwa winga, Ellie Mpanzu Kibisawala kutokana na namna alivyoteka hisia zao tangu alipojiunga na timu hiyo katika dirisha dogo la usajili la Januari. Hata hivyo, mambo ni tofauti baada ya timu hiyo kuja Morocco, kwani mashabiki wengi wa soka hapa licha ya kuifahamu Simba, mchezaji anayejulikana…

Read More

Simba yampigia hesabu kipa Berkane

Kocha wa Simba, Fadlu Davids amesema wamejipanga kikamilifu kuikabili RS Berkane katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kesho Jumamosi. Davids amesema kuwa wameifanyia Berkane tathmini ya kina kama timu na kwa wachezaji wake – mmoja mmoja. Katika tathmini hiyo ya wachezaji mmoja mmoja wa Berkane, Simba imeamua kushughulika…

Read More