Kamati ya Bunge yaiomba Serikali kuiongezea bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Bungeni Dodoma. KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeiomba Serikali kuiongezea bajeti na kuhakikisha inatolewa yote ya Wizara ya Viwanda na Biashara ili kufanikisha Mapinduzi ya Viwanda. Ushauri huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,Mariamu Ditopile wakati akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026…