Yacouba…Alitumia mamilioni kutibu goti | Mwananchi
“Ilikuwa kwenye mchezo wa timu yangu Tabora United dhidi ya KMC, nakumbuka nilimpiga chenga beki nikiwa nataka kwenda kufunga nikateleza vibaya mguu wangu wa kushoto ukageuka, nikasikia maumivu makali eneo la goti, nikaona labda ni kitu kidogo. Nikajaribu kuinuka lakini maumivu yakawa makali zaidi.” Haya ni maneno ya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Yacouba Songne…