Uwanja umeshainama kwa Jonathan Sowah
ILE kasi ya kufumania nyavu kwenye Ligi Kuu ya Jonathan Sowah tangu alipojiunga na Singida Black Stars ilikuwa inatisha sana na jamaa ghafla aliteka hisia za wengi ndani ya muda mfupi. Jamaa kaanza kucheza Ligi Kuu mwezi Januari tu mwaka huu baada ya kunaswa katika kipindi cha usajili cha dirisha dogo na akaweka kambani mara…