Walichokubaliana Rais Samia, Stubb wa Finland
Dar es Salaam. Serikali za Tanzania na Finland zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika maeneo mbalimbali huku zikiibua ushirikiano kwenye maeneo mapya kwa manufaa ya wananchi wa pande zote mbili. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Mei 14, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake, Rais wa Finland, Alenxander Stubb ambaye…