KIKAO KAZI CHA KAMATI YA MAZINGIRA JUU YA SHUGHULI YA USAFISHAJI WA MTO MPIJI
Bodi ya Maji ya Bonde la Wami/Ruvu – Kidakio cha Pwani imefanya kikao kazi maalum na kamati ya Mazingira kikihusisha wadau mbalimbali wakiwemo wataalamu wa mazingira, viongozi wa mitaa na kamati za mazingira. Lengo kuu la kikao hicho ni kuratibu na kupanga mikakati ya usafishaji wa Mto Mpiji na mito mingine katika Mkoa wa Dar…