Waziri Mbarawa abainisha mambo matano yaliyoibeba bandari Dar
Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amebainisha faida tano zilizopatikana moja kwa moja baada ya kuanza kushirikiana na sekta binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam, ikiwemo ongezeko la mapato hadi kufikia Sh8.26 trilioni kutoka Sh7.87 trilioni kwa kipindi cha mwaka mmoja. Pia kupungua kwa gharama za uendeshaji kwa asilimia 30, kupungua…