Rais anayetajwa kuwa maskini zaidi duniani afariki dunia
Uruguay. Rais wa zamani wa Uruguay, Jose “Pepe” Mujica amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Rais Mujica ambaye anasifika na kutambulika kama ‘Rais maskini zaidi duniani’ kabla ya kukalia kiti cha urais (2010-2015) alikuwa mpiganaji wa zamani wa msituni aliyegeuzwa na demokrasia ya kijamii. Pia alijizolea umaarufu kutokana na msimamo wake wa kutopenda…