‘Mkataba wa kodi ya mara mbili kufungua milango ya uwekezaji Tanzania’
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesaini makubaliano na Jamhuri ya Czech ya kuepuka kodi ya mara mbili, hatua inayolenga kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili. Mwaka 2022, biashara baina ya mataifa hayo iliongezeka hasa katika sekta za huduma, mashine, vifaa vya…